Sisi wa uswazi why tunaosha magari?

Sisi wa uswazi why tunaosha magari?

Mkuu, mbona mimi yangu huwa haichafuki hapa uswazi....[emoji45] [emoji45] [emoji53] [emoji53]
tapatalk_1521144929388.jpeg
 
Uswazi huwa hakuna 'baba au mama mwenye gari'...

Unamiliki gari uswazi watafuta kurogwa au kuchomolewa vitu kwa gari??
 
Hatufiki huko nyumbani, tunaishia CCM, hivi kuna mtaa ambao hauna CCM kweli hii nchi?
 
Back
Top Bottom