Sisi Waalimu tuongee kwa lugha gani mtuelewe?

Administer

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
2,639
Reaction score
2,384
Sisi walimu tumepanda madaraja 2018 na mabadiriko ya mshahara hayakuwepo hadi ilipofika 2019 October.

Tumejaza fomu za kudai mapunjo ya mshahara hatujalipwa hadi leo hii?

Tuongee kwa lugha gani hadi muelewe?Acheni hizo jeuri bana,
 
Tatizo ninyi wenyewe hamuumani kama yalivyo meno ya mbwa
 
Si usubiri ukaongee lugha ya kueleweka tarehe 28/10/2020?
 
Mkuu si mnapewa posho za kusimamia uchaguzi! hizo za madaraja mpk 2024.
 
TR 28 Kuna lugha za kuongea mwalimu na ukaeleweka wambie na wengne.
 
Sawa, Ila Sasa Hivi Mgombea Nafasi Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Kupitia Chama Cha Polepole
Anaongeza
 
Kwani tz ina waalimu au ina maalimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…