dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Hawa jamaa ni hovyo!!Kwa hiyo mna jambo lenu na konde boy siyo?Sasa nimeamini CCM imekufa yaani
Tena waliwatumia watu wanaitwa Machinga Network!!Wamachinga wa Iringa msisahau kumdai jiwe hela zenu za vitambulisho.
Konde boy ndiyo Rais?!Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atakuwa Hapo Akiomba Kura
Mumdai Jiwe NOAH zenu kwani ameishalipwa hela za MAKINIKIA!!! Amezoea kupeleka hela ya wananchi kwa MAYANGA!!!Wamachinga wa Iringa msisahau kumdai jiwe hela zenu za vitambulisho.
Jiwe aliwatumia polisi kuwapigeni hela.
Kwan mnalazimishwa mkuuNaam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Kwani ameshamaliza kikao na Wakurugenzi nchi Nzima Dodoma?
Mbinu za kuhujumu uchaguzi
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Nyie nendeni tu kwenye tamasha hilo ambalo mgeni rasmi atakuwa rais wa jamhuri ya muungano, msikilizeni lakini akiwaomba chochote mwambieni tutampa Lissu.Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Naam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Hongera kwa long weekendNaam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
SawaNaam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!
Sasa anaziomba za nini wakati tunaambiwa ataziibaRais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Atakuwa Hapo Akiomba Kura
Wazee wa msleleko hahhaaa I wish niwe IringaNaam, tangazo limepita muda huu, hatimaye jumatatu tunakula bata. Hakuna shule wala kazi bali tukutane uwanja wa Samora.
Tumeambiwa kutakuwa na burudani ya kukata na shoka kutoka kwa Konde boy na wenzake. Mengine tutaelezwa tukishafika.
Nice and long weekend!
Acha tuserereke!