Sisi wanajf ongozeni nchi je tutaanzia wapi?

Salehe Ndanda

Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
41
Reaction score
3
Wanajf ongozeni nchi tungeanzia wapi? Kama tungekuwa viongozi wa Tanzania.
  1. Kubadili katiba ya nchi?
  2. Kuwakamata Mafisadi wote?
  3. Kurudisha nyumba za serikali?
  4. Kufukuza wawekezaji wa Madini wote?
  5. Kurudisha vipanya vyote katikati ya jiji?
  6. Kurudisha nyumba zilizobomolewa ktk ifadhi ya bala bala?
  7. Kufuta vyama vya upidhani vyote?
  8. Kuvunja muungano?
  9. Kurudisha form six kupitia jkt?
  10. Kufuta sheria ya kuua?
  11. KUTENGENEZA UMEME WA NUCLEAR KAMA KOREA YA KASKAZINI?
  12. Kurudisha mabasi ya karusi kama enzi ya mwl, j.k. Nyerere?
  13. Kuwakamata maraisi waliyopita wote na viongozi wake?
  14. Kuwarudisha waisraeli na kuwafukuza wachina na warusi?
  15. Kuiteka Rwanda na BURUNDI kuwachini ya Tanzania au Tanganyika?
  16. Kuwafukuza wahindi wote?
  17. Kupiga marufuku wanaovaa VIMINI?
  18. Kurudisha bendi za zamani zote ikiwemo TANKATI ALMASI BAND?
  19. Kupiga marufu bendi za sasa kuiga nyimbo za zamani?
  20. Kufufua kiwanda cha kutengeneza magari aina ya NYUMBU' Kibaha PWANI? AU Kupiga marufuku wanaokunywa wakati wa kazi?
  21. Kurudisha siku ya jumamosi kuwa siku ya kazi ?
  22. Kuwafukuza wakimbizi wote na kufunga mipaka yetu yote?
  23. Kupiga marufuku kula nyama poli yoyote akiwemo PANYA?
  24. KUPAMBANA NA KENYA KUACHA KUTANGAZA MLIMA KILIMANJARO KWAMBA UPO KENYA NA KUJIZOLEA WATALII WENGI KUPITIA KENYA KUJA MLIMA KILIMANJARO HATA KWA VITA?
  25. Kupiga lisasi wote wanaopatikana na hatia ya KUUA,KULARUSHWA,KUBAKA WATOTO,UFISADI, KUKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU,KUUJUMU UCHUMI NA UKIKUTWA NA SIRAHA KINYUME NA SHERIA? RISASI HADHARANI JAGWANI.
  26. TUNGEFANYAJE KUONGOZA INCHI SIO LELEMAMA, SIO WATU WANAONGEA TUUU TUTAWEZA JF?
  27. Serikali yetu ingehamia Dodoma kwenye mji Mkuu?
  28. Tungejilimbikizia pesa uswiswi?
  29. Tungejinunulia magari ya kifahari na kujijengea majumba ya kifahari?
 
Last edited:
Wanajf ongozeni nchi tutaanzia wapi? we wish we was leadership of TZ, WHERE WE START?

Daah unaweza kuwa na point...but hapo nilipo highlight sijui ni grammar ya wapi hiyo! Please edit kabla mambo hayajaharibika or else andika kwa kiswahili tu mkuu!
 
Mkuu,
Haina haja ya tutaanzia wapi ila tu ni kwamba Haya yote ni matatizo makubwa ya Tanzania toka tumeuvamia Ubepari na bado list inaendelea..
Hivyo picha nzima sii ya Utawala tu ila ni matokeo ya mtu anayesafiri bila dira..
Kichekesho kinakuja tutaanzia wapi?.. huko tulikotoka hatukufahamu kwani hatukutumia dira na hatuwezi kurudi,tumeshasahau njia tulokuja nayo..Tulipo simama hatukufahamu zaidi ya kuelezea mazingira na yale tunayoyaona, huko tuendako hatufahamu tumesimama njia panda au niseme jangwani...Ila tunachofahamu ni kwamba tumepotea!..
Tutaanza vipi, kazi kubwa!
 

tuanze na mjadala wa kitaifa (nanukuu Prof. Lipumba) tuweke vipaumbele upya
 
Daah unaweza kuwa na point...but hapo nilipo highlight sijui ni grammar ya wapi hiyo! Please edit kabla mambo hayajaharibika or else andika kwa kiswahili tu mkuu!

Hiyo inaitwa "Bubonic ebonics"
 

Mkuu too many gramatical errors ambazo zina poteza mandhari nzima ya maandishi yako. Anway.......you make some good points and the rest makes me wonder what the heck you were thinking.
 

Tuanze na elimu.

Elimu!
 
Tuanze na elimu.

Elimu!

Brouhaha continue..........

Mkuu Dilunga yaaani you made my day......kwi kwi kwi kwi kwi....yaani weekend inaanza kwa uzuri kabisa.....kwi kwi kwi
 
Inawezekana watu washaanza kusemezana na chupa, weekend hii.
 
Mkuu too many gramatical errors ambazo zina poteza mandhari nzima ya maandishi yako. Anway.......you make some good points and the rest makes me wonder what the heck you were thinking.

Duuhhh........basi jamani msameheni bure.....kwi kwi kwi kwi.....
 
Mkuu, I am taking all positive ideas, tuna wizara mbalimbali, hakuna la kuanzia wala kumalizia, KILA wizara ikichukua tatizo moja na kukabiliana nalo, you may find all are simultenous tasks!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…