sisi wanaume duh!

Jonogomero

Member
Joined
Feb 8, 2012
Posts
99
Reaction score
27
Aisee sisi wanaume kwa kweli ni kwele, kama hili limemfukuzia demu zaidi ya miezi miwili, limehonga weee mpaka simu ya bei mbaya limenunua. Leo limenyimwa mambo lipo ooooh kwanza demu mwenyewe mshamba tu, oh sio level zangu, hajui hata kuvaa. Sasa mi nashangaa inamaana hayo yote hakuyaona!! Au ndio za sungura kuwa sizitaki mbichi hizi
 
hahahha kawaida bana...ah wao wanawake wanyodo sana aoo wee nae ponda tuu.
 
umeshawahi kukutana na demu aliyefukuzia mtu na kumkosa??? hapo ndio utakoma kabisa.... hiyo ya sizitaki mbichi hizi cha mtoto:A S embarassed:
 
Mpaka mtu aanze kuongea hivyo jua kimemgusa. . .mshamba ni yeye asiyeweza kucontrol hisia zake.
 
Ndio njia pekee ya kujifariji na kumtoa moyoni; hata nami nikimzimikia broman, asiponinotice, nitatafuta njia ya kumtoa kasoro ili moyo wangu usiumie!
 
Kawaida sana hyo mkuu, ni sawa na kujipa raha ktkt ya shida.
 
Lol! Ama ukikuta mdada kaachwa? Mipondo yake hadi huruma. Hapa kamanda nakubaliana na wewe, vita yetu hamuiwezi,lol!
umeshawahi kukutana na demu aliyefukuzia mtu na kumkosa??? hapo ndio utakoma kabisa.... hiyo ya sizitaki mbichi hizi cha mtoto:A S embarassed:
 
Ndio njia pekee ya kujifariji na kumtoa moyoni; hata nami nikimzimikia broman, asiponinotice, nitatafuta njia ya kumtoa kasoro ili moyo wangu usiumie!

mhhhhhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…