"Sisi wanaume ni PUNDA" kauli ya babu

"Sisi wanaume ni PUNDA" kauli ya babu

1kush africa

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Posts
9,552
Reaction score
13,090
Jana nilikuwa na babu tukawa tunapiga stori za hapa na pale,, hii kauli imeniacha mdomo wazi, "sisi wanaume ni punda mjukuu wangu" nkahoji kwa nini unasema ivo?

mwanamke ukisha mzarisha tu upendo unahama, anahamishia kwa mtoto, ukiongeza mtoto mwingine ukawa na watoto wawili upendo unazidi kupungua zaidi [emoji23] [emoji23]

Kazi yako ni kuwalisha, kuwajengea nyumba, kuwalinda. n.k

mwanamke kwako swala la penz kwake sio ishu sana kama wewe unavohitaji,

sie tuna invest kwa upande wao lakini wao hata siku moja hata invest kwako,

ndo maana wanaume tunawai kufa kuliko wao,

sie tunajinyonga sana kuliko wao kujinyonga,,

kwa kifupi sie ndio tunaopenda kuliko wao,
 
Back
Top Bottom