Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

huwa napata shida sana kuwatofautisha kati ya wanaume wa Dar na mademu.
anayejua utofauti wao anisaidie tafazar, ikiwezekana atupie na picha labda nitaelewa.
 
Hahahaa madam ni wewe au kuna mtu amehack account yako?[emoji13] [emoji13]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wa dar hawajalalamika labda tupate wanawake wa Rombo na Nairobi ndiyo waliolalamika
 
Mimi nitawapa ile style ya kupuliza, yaani demu wa mkoa atakuwa anatafuta mwenyewe nauli kuja Dar aje kupulizwa!! Nadhani wale wazee wa kupapuchika wananielewa hahaha
 
We utakuwa wa kimoja chalii
 
yaaaan dar mtu ukiwa umejaa misuli kidogo tu basi unaweza onea magomeni yote mpaka manzese.
wanaume wa dar ni maVI.wonder kabisa
Nasikia kuna jamaa huko anaitwa scopion alikuwa anawatoboa mpaka macho halafu wanamwangalia tu
 
wa dar shindaneni na dada zetu kwenye dressing table,kupaka wanja na kupaka poda acha wanaume wa mkoani tupambane. wanaume gani lain kama unga wa chapati,wanaume gan wavaa hereni na watoboa pua kutwa kushindana na mademu zetu kama shindano la kutafuta miss universe aah tena wavaa vitopu.
 
Wanaume wa Dar si ndo hawa wavaa Skin na kukata viuno hazarani..yani nyie wanaume wa Dar endeleeni kugombania wanja na Dada zenu.
 
Hahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
Mkuu tayari umeshakua "assimilated" solid 12 years si kidogo.. hahah
 
Nyie Endeleeni kula mayonaizi tu na chips..
 
Sisi kutoka mkoani.tunajua kupereka fire of the fire.na nikija dar wanajua chalii kutoka ar katimba.hapo ndio utajua kidume kaja kutembeza dozz.utata akuna anaefuata sasa dar ndio nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…