Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

na panya road wakipita, wanaume wa dar wanavaa madela ili wafanane na wanawake...ili panyaroad wawaonee huruma
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Toka lini mla chips yai akasimamia show ya kibabe? [emoji23][emoji23][emoji23]Magu kabana naskia mnajiita wanaume mashine sikuhizi..... Toka lini bamia ikawa mashine, mnaishia kuwatekenya tekenya watoto wa watu ndio maana hawaelewi walie au wacheke... [emoji16][emoji16][emoji16]

Mara mbuzi kagoma, mara popo kanyea mbingu [emoji23][emoji23][emoji23]...Possession nyiingi mabao hamna. Mchezo ni Mabao sio Possession. Ndio maana Dada zenu wa Dar wanasema, "ukipigwa bao lazima ulegee"

Wadada wanalalamika vipodozi vyao vimepungua madukani... Naskia nyie ndio mmevimaliza..

Mtoto wa kiume maji ya kwenye magoti unaita mafuriko, unakimbiaa utafikiri umeambiwa panya road wanakuja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Simu zenu zimejaa majina ya wauza pweza. "Ally Muuza Pweza Mwenge Stand" ,"Yusufu Ngissi Changombe"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna Dada zenu wamehamishiwa Dodoma.... Wamesema hawarudi Dar ng'oooo... Wamekutana na show za Ugali dona, mtindi, kuku wa kienyeji, kisamvu cha karanga, plus mbegu za maboga. Hadi wanazimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanaume unamiliki IST, Passo, Vitz [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenzenu tuna tuna miliki matrekta, tuna mahekta ya mashamba ya Kilimo. Halafu mwache kutusumbua, sijui tuwatafutie ka heka mlime matikiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pambaneni na hali zenu.

Mtoto wa kiume 24hours upo Instagram, unafuatilia michambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi vidole vimewalegea.
 
Ktk uzoefu wangu watu wengi waishio sehemu zenye joto kali wana tatizo la nguvu za kiume na magonjwa ya vibofu vya mikojo. Pia wanaume wengi waishio sehemu zenye baridi kali na zenye baridi ya kati wana uwezo mkubwa wa kimapenzi.
Hii ndiyo sababu tosha kuwa wanaume wa bara la ulaya wanashinda kwenye mapenzi na hawachoki.
Aina za vyakula ni sababu, huwezi kulinganisha mtu wa Mbeya na Dar kimapenzi kwani Mbeya vyakula siyo vya kubipu ni full kushiba tofauti na Dar wanakoshindia pilipili kwa mhogo choma.
Ukweli aina za vyakula kwa wingi vitumiwavyo na watu ndiyo chanzo kikuu cha ubora wa mapenzi.
Nadhani mimi siwezi kuishi Dar sababu ya lile joto linaweza kuulaza mnara wangu wa vodacom.
 
Chips kwani kitandani ni vitani, ile ni sehemu ya burudani. Ndiyo maana kila kiungo pale kina kazi rasmi. Kwakuwa tukio lile mnalichukulia kama vita ndiyo maana huwa mnakandamizia na ugali ( wa muhogo) kabla ya tukio.
Dah asee, siamin macho yangu[emoji27] [emoji27]
 
Wanaume wa mikoani ukipishana nao harufu wanayotoa utadhani jiko la mchina limezimwa
Mwanaume sio mda wote unanukia vzuri, kuna time acha kijasho kinukie nukie jombaa sio mda wote unanukia km Dada ako
 
MWANANGU UMEUAAA
 
Hatutaki maneno. Tunataka muziki. Nyie mna maneno mengi kwa ajili ya kujitetea. Leteni madada zenu nasi tutawapa madada zetu kumi kwa kumi. Halaf waje watoe ushahidi.sisi wa dar tunapiga mpaka show 5 kwa siku moja.
 
Kwa post hii tu pekee ushindi umekwenda kwetu wa mikoani[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Mwanangu umeua
 
Ewe mwanaume wa dar na wake zenu kokote mliko agizeni Pepsi baridi nakuja kulipa
Zaidi ya 60%ya uchumi wa tz unategemea dar huku mikoani sijui simiyu ,kishumundu ni upuuzi mtupu.
Pamoja na uvivu wenu watu wa bashite mnajipenda na pochi zenu zimetuna sio huku mikoani watu wanatamba nguvu nyingi mifuko imetoboka.
Hii miwatu ya mikoani ni bongolala kabisa acheni iende vijijini kwao huko kolomije ikalime ,mazao yakiiva mje kuipangia bei mpaka akili zao zisogeleane
Ikitaka kuja mjini muiambie ibebe magunia ya mchele na viazi wakati ninyi mkitaka kwenda mikoani bebeni mikate miwili na azam mango moja wakapambane na hali[emoji23]
Madada zao "ma house girl " wakija mjini mnawapeleka bafuni moja kwa moja wasije wakawaletea kunguni na ukurutu
Nawasilisha.....
 
Mke wa mwanaume wa Dar analalama hajawahi kupanda mlima Kilimanjaro wala vilele vyake vya Kibo na mawenzi
Halafu unajiita mwanaume uliekamilika
Hizo ni simulizi usiziweke maanani demu wako au mkeo akija dar ujue ushamkosa watu tuko vizuri. .usifiri kila mwanaume anakula chipsi yai wengine atuzijui hata zinafananaje
 
Hatutaki maneno. Tunataka muziki. Nyie mna maneno mengi kwa ajili ya kujitetea. Leteni madada zenu nasi tutawapa madada zetu kumi kwa kumi. Halaf waje watoe ushahidi.sisi wa dar tunapiga mpaka show 5 kwa siku moja.
Hadi mnywe mchuz wa pweza mara konyagi mara vumbi LA mkongo cjui, yani mwanaume wa dar kitendo kdogo tu kama kula papuchi adi ujipaaaange. Loh, wakati mwanaume wa mkoan full time tuko packed and loaded. Waleteni tu hao Dada zenu wa uko wakutane na vitu OG, ndo mana mkichukua mahouse boy kutoka bush wanaishia kuwapigia mama watoto zenu, damn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…