Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Hapana, nlikuwa namgegeda dada mmoja kwenye gari... Nakuja ngoja nikanawe ntakuja. Na washtue jamaa zetu wa town waje pia.
Ona sasa tabia zenu ovyo tuu wanaume wa dar
 
Wanaume wa mikiani wakimuona uwoya wanaruka utazan wamekutana na yesu akat sie mjini anaolewa na dogo tu, juzi Roma kaja huko mmemuabudu mpk mmemtandikia zulia akat sie mjini tunakula nae juisi ya miwa kitaa
Mwanaume wa dar ovyo kabsa
 
Hapa kuna point kwa sisi ambao tuko dar Lakin tunapiga show za mikoani
 
Wanaume wa dar hamna kitu baada ya kushindwa kuwaridhisha wanawake wameishia wengi wao kuwa mashoga Sasa wa natafuta wanaume na wao kama mabinti na Dada zao

Hii ni Zaid ya janga
 
Gudume katika ubora wake
 
Kitu nilicho gundua katika utafiti wangu hapa jf ni kwamba wanaume wa mikoani ni wengi sana hapa jf kuliko wa dar na ndo maana wanawaonea sana wazee wa chips maini poleni sana wanaume wa dar
 
Wanaume wa Dar hukojoa uku wamechuchumaa kama dada zao, na wakiitwa huitika Abeeeh! πŸ˜€πŸ˜€πŸ™‚πŸ™πŸ™
 
Kiukweli wanaume wa Dar wanatuzid nguo za kubana tu, huwezi kukuta mwanaume wa Shinyanga au Mbeya ananunua karanga mbichi kabla ya mechi, kwanza huku hatuwaz kuhusu mechi maana haitusumbui ni ushindi tu
 
Sample ya Wanaume wa Dar

1. Jerry Muro
2. DAB
3. Hajji Minara

Sample ya Wanaume wa Mikoani

1. Masau Bwire
 
Hao mademu wa Dar wamalizwa kila mahali.yaani kama ni Crankshaft ya gari imefika saiz 100.nani anawataka?kaeni nao tu pambaneni nao.
 
The so called wanaume ni kama new brand ya jinsia ya kiume yenye mambo ya kike nadhani dar kuna wanawake watamu na wanaume nusu nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…