Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Hili ndlo tunalo liweza dahh!!! Inasikitisha sana mtu na akili yako unashupaza kiuno kuandika huu ujingaaa dahhh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji47]
Na wewe umekodoa macho kusoma na comments juu eeeh nadhani wewe utakua ni wa dar na ujinga wako
 
Ctaki tu kuwa mwanaume wa Dar hata ningezaliwa pale kariakoo mchana...wapaka ina hao wanajua tu kutia vidole wanawake lakini vingine hola that is why utaona Dar wanawake wengi wanatembea uchi uchi coz wanajua wanaume wa dar hamna madhara hata mkiwa kumi
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Unakumbukumbu ule uzi jamaa alijambiwa mwezi mzima kakaa kimya mpaka akatongozwa
Hahaha jamaa ni fala sana uyu, eti mwezi mzima anapewa perfume ya mashuzi ya mix ya bia na pilau la dar afu yeye anashangilia tu na bado anajiita mwanaume kabisa anakuja kuomba ushauli umu JF eti amfanye nini..[emoji41][emoji41][emoji41],,,, Wavulana wa Dar bana,,,[emoji57][emoji57][emoji57]
 
Dah hahahaaaa acha kabisa......yule manzi alimwambia akimfuma na mwanamke mwingine atamkata busha ....mwanaume wa Buguruni kimyaaa
 
nmepunguza kidogo ndugu yangu... najitahidi hivyo hivyo ingawa ni ngumu lakini kwa sasa naweza kula mmoja au wawili kwa week. nmekuwa busy kidogo na kazi.
[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
 
Uzinzi ndo uliojaa akilini mwako, unashindwa kujisifia na mengine unajisifia uzinzi na ukahaba, Moto upo unawangoja watu flani hivi........
 
Mpambano bado ni mkali ndugu wafuatiliaji huku Bushstars fc wakipeleka mashambulizi makali katika lango la wanaume wa Dar sc.

Mpaka sasa bushstars wameibuka kidedea kwa ushindi wa 5 - 1,,, huku walamba lips wakiwa na wakati mgumu sana.

##Endelea kufuatilia....
 
Akili ya kukakaa kibarazani hyo na kusubiri msosi wa kengele ndo ilivyo hvyo
 
Word
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
wanaume wa dar ata maji yakimwagika barazani WANAITA MAFURIKO....mwanaume wa dar anakula chips mayai kama mlo kamili...bila kusahau rollpop mdomoni.....na maneno kama jomoni,k,p,,my,.akuuu...yakiwatoka mdomoni bila wacwac
 
wanaume wa dar ata maji yakimwagika barazani WANAITA MAFURIKO....mwanaume wa dar anakula chips mayai kama mlo kamili...bila kusahau rollpop mdomoni.....na maneno kama jomoni,k,p,,my,.akuuu...yakiwatoka mdomoni bila wacwac
Naona Juma Mpemba na tabia zako za zenjibar mnazokuja mnatuchafulia mji wetu wa dar ...kwanza wapemba wote kuingia dar mtakuja na passport maana nyie kama popo mkoani hampo na dar hatuwataki[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Watuache kabisa

Et usijipende kwasababu we ni mwanaume "nyani hawa jmn"
Me papuchi naiburuza vzr tu hata niwe hoi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…