Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Naona Juma Mpemba na tabia zako za zenjibar mnzokuja tuchafulia maji wetu wa dar unatupa sisi...kwanza wapemba wote kuingia dar mtakuja na passport maana nyie kama popo mkoani hampo na dar hatuwakati[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
cie ni ndugu bwana...ila upemba ni id mkuu....ila wanaume wa dar wametushinda....bora wajitenge kama catalunya ...wawe na nchi yaooo
 
Nijibu swali hili kwanza
Mbona matangazo mengi ya upungufu wa nguvu za kiume yapo sana dar kuliko mikoani
ukiona kitu kinapungua ujue kinatumika sana. Ukiona hakitumiki hakipungui.. Kikipungua inabidi kiongezwe kama bado kinahitaji kutumika.... Dar oyeee
 
Mbona hujasema mlikaa kikao lini mkaazimia kama wanaume wa Dar? Weka na muhtasari
 
Hahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
Ni yule ansyelala kila siku dar kwa kipindi kisichooungua miezi sita mfululizo au mnasemaje?
 
Hivi si wameitwa wanaume me nahusika vipi jaman
Hii mada inawshusu wanawake ndo wanajua vizuri hata hivyo wanawake wa Dar pia hawana sitamina kama wa mkoa ikifika kama dk ishirini utasikia mie tayari we bado utasikia inawaka...naumia siwapendi hata kidogo ila wengi wasafi
 
Hii mada inawshusu wanawake ndo wanajua vizuri hata hivyo wanawake wa Dar pia hawana sitamina kama wa mkoa ikifika kama dk ishirini utasikia mie tayari we bado utasikia inawaka...naumia siwapendi hata kidogo ila wengi wasafi
Eeenh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…