Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Suki hizi wanagonga kuku na bata
 
Ona mpendezeshe me nakuja kumridhisha boya ww
Mna nguvu midomoni. Cc tuna nguvu za kiume
Mwanza oyeeee
 
Saiz tupo mashambani tukirudi tutatoa tamko
 
Wanaume wa mikoani wakimuona uwoya wanaruka utazan wamekutana na yesu akat sie mjini anaolewa na dogo tu, juzi Roma kaja huko mmemuabudu mpk mmemtandikia zulia akat sie mjini tunakula nae juisi ya miwa kitaa
Wapi wanaume wa dar mmemshindwa kumtomba Uwoya mpaka imebidi atafute mwanaume wa mkoani,na ss tukachukua hilo jukumu ikatubidi tumkabidhi dogo janja, iwapo dogo atashindwa kazi tuliyomkabidhi itabidi wazee takamatie mzigo...
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] mkuu heri hata umesema aiseeee
 
Inasikitisha sana

Yani umeona kitu pekee cha kujivunia ni ngono tuu

Aisee kama umri wako ni zaidi ya miaka 13 naomba admin aniblok

Yani niwe banned miaka 30
 
Kama wewe ni mwanaume wa mkoani na mwanamke wako anaishi dar/huwa anatembelea dar mara kwa mara jua kwamba ushachapiwa tayari.
 
Sijui ni kwanini ila asilimia kubwa ya wanaume watokao mikoani wakija dar ndio hua wanaanza kujihusisha na vitendo vya kishoga
 
Wanaume wa Dar wako legelege sana..

Mwanaume gani hawezi kutembea toka Posta hadi Kivukoni!? Au kutoka Viktoria hadi Morocco kwa miguu!!
Joto kali, hatutaki harufu ya vikwapa...

Pia unaweza kutembea Posta hadi Kigamboni na kuibiwa smartphone yako!....... Hapo unaangalia kipi cha faida

Kama issue ni mazoezi, kuna jogging kila weekend

Mtuache tutulie bhana........
 
Imenichukua muda sana mpaka aya sijui ya ngapi ndio naelewa huenda aliyeandika akawa mwanaume.

Pumguzeni kucheza taarab hamuelewi, sasa rudia kusoma mwenyewe kama utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…