Joto kali, hatutaki harufu ya vikwapa...
Pia unaweza kutembea Posta hadi Kigamboni na kuibiwa smartphone yako!....... Hapo unaangalia kipi cha faida
Kama issue ni mazoezi, kuna jogging kila weekend
Mtuache tutulie bhana........
Walioko dar 80% wametokea mikoani sasa sijui unawaongelea watu gani aseeSijui ni kwanini ila asilimia kubwa ya wanaume watokao mikoani wakija dar ndio hua wanaanza kujihusisha na vitendo vya kishoga
Muone churaWanaume wa Dar zile suruali zenu za kubana huwa mnavaa kwa lengo gani?
Hahahahahah wanaziita kamatia chiniWanaume wa Dar zile suruali zenu za kubana huwa mnavaa kwa lengo gani?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahah wanaziita kamatia chini
Anaishi kinondoni Huyu... Anaongea huku kabinua kamdomoKWELI GuDume WEWE NI MWANAUME WA DAR
SIFA KUU YA MWANAUME WA DAR NI MIPASHO NA MANENO YA KWENYE KHANGA NA TAARABU PLUS KUJISIFU.
Na ww leo unawasema kaka zako?Wanaume Dar walaini hata kuvunja biskuit hawawezi
Haha, umepatiahawa ndo wanaume wa jiji la bhashite
Mkoani,au hujui dogo anatokea mkoa gan?Kwani Dogo Janja anawakilisha wanaume wa wapi?