Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Sina uhakika kama hii thread ipo sehemu yake, ila mambo kama haya sisi watumishi tunakutana nayo sana. Siwezi kuita ni IBilisi. HUu ni uumbaji wa Mungu. Ila tunahitaji maombi. Sisi Ni binadamu pia.