Sisi wazee wa JF tuna kundi letu

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Sisi wazee wa MM na JF kwa ujumla group letu limepungukiwa na wadada baada ya wadada baadhi kuwa masomoni,makazini nje ya nchi na company yetu kwa sasa imepwaya hivyo tunatoa tangazo tunahitaji wadada 5 tu wakali hatutaki wazee na wadada wasiku mingi humu...maudhui nikuwa sisi ni kampany kila jumamosi ni bata kama upo committed hatukutaki...naishia hapo ukitaka unaweza kupm kwa hawa watu nilio wakopy

Jiwe Linaloishi
kipajihalisi
Paloma
KakaKiiza
Asprin
Ben Mugashe
GEORGE robart masatu
Hivyo hapo unaweza kutupia namba yako masharti usiwe na bwana mwenye vurugu uwe na bwana mstaarabu akijua uko na group la JF group anakuwa na imani mimi nawasilisha.
 
Wadada wadada wadada ok kwenye biashara kukiwa na tahadhari nyingi na ukiingia mbeleni lazima utatapeliwa lakini ni kama kwenye kwenye kwenye biashara tu.
Kazi kwenu wadada na kula bata bila kutema mifupa
 
Mkuu mbona masharti kha! Ruhusu sote bana kwa status hiyo ya 'sisi wazee'
 
Uzinzi tu
[emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji20] nimecheka Kwang vu heri mi ni mbaba wadada from from afrodenzi Mamndenyi . Asha d. faiza ect km Huna majukmu jongeeni




Usawa huu mwanamke asiye na majukmu sijui unampataje
 

Teh teh teh teh, sisi wababa halituhusu hili group, [emoji23]
 
Group la wanaume wanahitaji wanawake watano tu!

Wasiwe commited,

Kama wana wenzi wao wasiwe na wivu,

Kazi kubwa ni kula bata tu.

Hapo utahitimisha nini kama sio Uzinzi.
Nimependa maelezo yako, though you're everhurt..lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…