Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Niliandika ile siku ya game ya Simba SC na Utopolo, Nilisema inawezekana Yanga ime drop au inawezekana Simba ime imemprove; Pia nilisema mwaka huu Yanga hatoboi hata group stage .
Mean while , Injinia wa mchongo amekwenda kufanya kosa kubwa la kiutendaji linalokwenda kuicost timu msimu mzima and this is just a beginning.
Wengine tunaona mbele, tunaitazama dunia in a big picture , nyie viazi mviringo black skin mashabiki wa Yanga, acheni Oya Oya, jifunzeni kusikiliza
Pia Soma;
- Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa
Yanga imepitia Transformation over four years ndio tukaipata hii Yanga; uvumilivu wa makocho na kuwapa muda ndio ikazaliwa Yanga, ile consistency ndio inatupa timu bora.
Reforms ni process , kuajiri kocha ni process hata kumuacha kocha ni process, huwezi kumuacha kocha kama unavua shati, it has to be a process with smooth transition na sio kufanya abrupt change, that is stupid .
Gamondi would not lose 2-0 , hasa mechi kama hizi. Huyo kocha mpya he needs time not less than a year ndio anaweza leta Yanga mpya.
I thought Injinia ni smart man , kumbe ni walewale wala mahindi , hamna kitu kichwani. Inamaana hamkujifunza kwa makolo, kutwa kubadilisha makocha kwa mihemko ya kufungwa, did they make it ? si mpaka sasa wapo wapo kama kuku wa kienyeji na hawajielewi.
Kufungwa Taifa goli 2 it’s a bread of shame, tunapoteza muda mwingi sana kwenye social media football badala ya kudeal na analysis . Simba na Yanga ni timu za hovyo huwa hawanaga long term plans.
Anyway , Injinia JITAFAKARI na hao washauri wako, it was not right time kumuacha Gamond. I can respect Nabi alivyoondoka than Gamondi,.
Nabi hakutaka kuanza na timu msimu mpya and that was a smart move.
Kama unaanza na kocha, unatakiwa kumaliza nae msimu and that is what we call consistency