Sisitiza virutubisho

D-wiles

Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
7
Reaction score
4
Virutubisho Ina umuhimu nyingi Sana katika mwili ya mwanadamu

Vifuatazo Ni muhimu ya virutubisho katika mwili.

1: kwa mtoto humuongezea hamu ya kula
2: husaidia kuzuia upungufu wa damu mwilini
3: huboresha ukuaji wa mwili pia akili
4: kwa mtoto husaidia kumkinga zidi ya. Magonjwa
5: pia kwa wanafunzi husaidia kuongeza uwezo wa kuelewa na kujifunza darasani

Hizo Ni baadhi ya umuhimu wa virutubisho katika mwili ya mwanadamu
Kama unanyongeza naomba tusaidiane ili tujifunze sote
Asanteni !!!!
 
Umaskini wa akili na kipato hujiimarisha wenyewe kwa cycle yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…