Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
Hii ndio jeuri ya pesa bana.....duu pichani mkwasi mtoto wa moja wa wakwasi wa Russia kavunja rekodi ya kununua jumba la kifahari majuu NYC kwa shilingi ya Marekani mnywamwezi Mil 88 full bila installement....huyu shori anapiga kitabu kwenye moja ya university moja huko huko majuu na anapanga kujiachia kwenye jumba kwa kipindi atakachokuwa anakula good time @ NYC....ikumbukwe muda mwingi anaishi Monaco na alikulia Uswisi...