Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania. Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda View attachment 3347243 Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a Cleopatra ndilo jina nililompa miaka Ile. Namuangalia wakati wote kwa video zake, picha nk. Alisemwa kwa.mengi mabaya kwangu Mimi she is a woman I love. Kwa sasa anawatoto na familia take somewhere I don't know here or there mungu alikupa kitu adimu sana Sylvia. A beautifulness and a wife of somebody, lucky him
Yupo bonyokwa pia anakaimu MwenyekitiWewe ni katibu wa chaputa tawi gani
Huyo saivi ni Mbibi...2003Ni mwanamke ninayempenda sana. Nampenda Sylvia mwanamke aliyewahi kuvuma katika tasnia ya urembo nchini Tanzania.
Kwa sisi wanaume tunaojua mrembo ni nani huyu this woman is real, nampenda View attachment 3347243
Nilihudhuria mashindano yake mengi akiwa anagombea umiss Hadi akashinda, she is a Lady, a queen, a Cleopatra ndilo jina nililompa miaka Ile.
Namuangalia wakati wote kwa video zake, picha nk.
Alisemwa kwa.mengi mabaya kwangu Mimi she is a woman I love. Kwa sasa anawatoto na familia take somewhere I don't know here or there mungu alikupa kitu adimu sana Sylvia. A beautifulness and a wife of somebody, lucky him
πΉπΉπΉ dadeqWewe ni katibu wa chaputa tawi gani
Simple trick ni kukubali, and kusahau. Si rahis inachukua muda but through kujichanganya na umbali unasahau kabisa.Unayempenda humpati, utaishi kwa maumivumi mpk roho inatoka..