Sitaamini wanawake tena than my mom

shukuru mungu tu kaka ukizingatia haujaduu naye,may b amekuepushia na maafa makubwa,ila utulie sasa ucje kuingia mkenge tena,naomba kuwasilisha hoja
 

Mawazo mazuri, ila utajuaje kama huyo msichana hafai kwa uhusiano au ndoa.
 
Wanawake wasio aminika si hao wanao jidai ma single tu :A S shade:
 
kinachokuuma nshajuwa ni kwamba bado ulikuwa hujamla mzigo so unawaza pesa zako,najuwa inaumaga kimoyomoyo,,,,ila nawe ulichemsha approach,ntaku pm nikupe maujanja

Nitashukuru sana
 
Mi nimshukuru kwa taarifa kuwa kumbe una "garrry yako". Tungejuaje?

Swali la kizushi; demu wako halijui garrrY lako? Manake anasubiri upite na garrrry lako asilijue?

Chezeye garrry weye? Gari mtego lol
 
aaah....yaani wewe vizinga vyote ivo hushtuki na unatoa tu na mzigo hujapewa.....we wakuja kweli kwa hawa viumbe...pole
 

wellcome to the world of SODA YA KOPO, Mr Dooky.
 
Jamani mineno inakutoka kama umemuandikia nyumba,kumbe kisimu au ulikua huna pesa ya keki ndio mana ukasusa?
kwani ulipokua ukitoa pesa ulimwambia kua nakupa ili ujeunivulie nguo? kua mstarabu ......
 
nywere zilisha tengenezwa lakini anakwmbia naomba hela niende salon wakati huo amejifunga kilemba invoice ndogo ndogo usijali na huenda alikua na jamaa yake anamwacha polepole umechuka maamuzi ya haraka muno je ungefumania
 
Asa mkuu,we ulvomuita shetani,ulitegemea ye akuite mungu?mkuki kwa nguruwe eee!
 
Mi nimshukuru kwa taarifa kuwa kumbe una "garrry yako". Tungejuaje?

Swali la kizushi; demu wako halijui garrrY lako? Manake anasubiri upite na garrrry lako asilijue?

Chezeye garrry weye? Gari mtego lol

huyo jamaa fix tu.
 
Pole sana kaka first approach huwa inawasumbua sana watu kwenye uhusiano.
 

Hujambo wewe?
ndio hapo mabinti hua siwaelewi, siku ya pasaka nilikutana na mabinti walikua wanaenda Club tukawabeba walikuwa ni wanafunzi wa chuo, kufika pale Club nikawalipia wote kiingilio mimi nikabaki nje kuna sehemu nikawa napiga Lager zangu wao wakaingia ndani, binti mmoja akomba namba yangu kweli mtoto mzuri ana sifa zote na alikuwa bomba ile mbaya, nikampa namba yangu baada ya muda kidogo nikaingia mle ndani nikamkuta anakunywa nikamuongezea castle rite kama 3 hivi akalewa taabani, baadae alfajiri tukawarudisha kwao, kesho yake mchana akanipigia nikaongea nae mazungumzo kawaida tu, jumanne ya pasaka akasema ilikuwa ni birthday yake kwa "yeye alivyosema" nikamwambia poa nitakutoa, akasema yuko na marafiki zake nikadhani wanakuja wawili wakaja wanne na yeye watano, tukaenda sehemu tukapata Bia na nyama choma then nikawarudisha, lakini nikamuuliza inakuaje mnakuja watu kibao hata kwenye gari tunakua hatutoshi? akasema rafiki zake walishapanga kutoka kwa hiyo asingeweza kuwaacha..

baada ya siku tatu akanipigia kwa namba nyingine akasema simu yake imeibiwa, nikamuuliza aina gani na inauzwa kiasi gani akaniambia aina ya simu na bei yake mpya ni 65,000.. nikamwambia poa nitakuchangia 30,000.. nikamshangaa anasema anataka kununua Nokia X3 bei yake ni Laki 3, nikamwambia kama ulikua na simu ya 65,000 mimi nitakuchangia 30,000. tu zaidi ya hapo haiwezekani... akajifanya amekeasirika nikampotezea

Siku iliyofuata akanipigia kwa namba nyingine akaniuliza niko wapi? nikamwambia nipo somewhere huwa wanauza chakula na Bia... akaja na rafiki yake pale mimi bila kujua wakaagiza chakula cha 15,000 yeye na rafiki yake pamoja na red Bull na Castle rite, nikalipa wakati tunaendelea kunywa akanitumia ujumbe ana shida na 20,000. nikamwambia kwanini hukuniambia mapema? baada ya nusu saa tena nimtumie credit, " nikamwambia credit ya nini wakati tupo face to face"
nilichofanya nikampa 20,000 nikalipa chakula na nikampa onyo next time ukiweka order bila kuniambia itakua imekula kwako nikaachana nae

muda hautoshi naishia hapa lakini mabinti ni wapuuzi tena sana ndio maana hua wanamegwa na kuachwa, Msosi, Simu, vitu ambavyo havina tija wala thamani kama utu wao....

Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta nakushauri tulia hao mademu wa chuo hawana maana hata kidogo...
 
Manyanza!! Wewe shujaa kwelikweli, kuburuzwa kote huko hata ushtuki! Pole sana. Hebu tudokeze, mwisho wake ilikuwaje? Yani kama ni Buzi, wewe ulikuwa Buzi la maziwa (la-kizungu)
 
Manyanza!! Wewe shujaa kwelikweli, kuburuzwa kote huko hata ushtuki! Pole sana. Hebu tudokeze, mwisho wake ilikuwaje? Yani kama ni Buzi, wewe ulikuwa Buzi la maziwa (la-kizungu)

mimi mtoto wa mjini amekula kama laki moja na kidogo lakini cha moto alikipata
 
Mbona hii ishu ndogo saana kaka, ukisikia nyingine si utashangaa, endelea kuwaamini ndivyo walivyoumbwa hao bana,
 
Duh anakuja na rafiki zake watano "5" kweli hata wewe mvumilivu sana, lol, nimeipenda hii zaidi mheshimiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…