Sitachangia Uzi wowote kwa Lugha ya kiswahili

[emoji23][emoji23][emoji23]

Sijakusoma mkuu Ushimen. Unaweza kunielezea kwa kutumia layman language? [emoji851]
Namaanisha........
Nilipokua mtoto, nilikua nikiwa ndani ya treni..... niliona watu wakitembea huku wanarudi nyuma....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Afadhali umri wako unaendana na bandiko lako
 
Namaanisha........
Nilipokua mtoto, nilikua nikiwa ndani ya treni..... niliona watu wakitembea huku wanarudi nyuma....[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Hizi ni Lager bila ya shaka. [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hizi ni Lager bila ya shaka. [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu......
Naelekea kutimiza miezi 23, tangu nilipo mkana shetani na dhambi zake.
Rejea kitabu cha Zaburi 16 : 6 - 10
 
Me also like these ENGLISH good english helps perfect thanks you

Mungu Ni Mwema
 
Unataka kuonekana kma umefaulu form six sio?
 
Huko ulipotoka hujajifunza hadi uje ujifunzie hapa. Shubamit[emoji16]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Shure = Shule

Ebu jifunze kwanza kiswahili kisha uhamie kwenye Kiingereza.
sent by Samson Cyper
wanasayansi huwa hatunaga mda
Pia azidi kujifunza na kiswahili mfano hapo mda badala ya muda pia huwa hatunaga badala ya huwa hatuna (kuweka ga kwenye sentence mwishoni mtuachie sie watu wa Mwanza na Tabora)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…