Unafikiri utapata jibu sahihi?
kutokana na my experience, anae tafuta mume au mke basi jua hana.
Kwa utafiti wangu nimegundua humu ndani asilimia kubwa tamaa ya maisha au matatizo ya maisha.
Tamaa ya maisha, yaani mtu anataka alie afadhari na kumuacha yule masikini.
Kuna dada mmoja aliacha mume na watoto akakimbilia kuolewa amerika.
Ingawa mumewe alikua mtu mkubwa na anamaela mengi, alifikiri akienda amerika ndio atakua na maisha mazuri zaidi.
Matatizo ya maisha, yaani anateswa na alie nae na anataka atakae mthamini.
Kuna wengine wananyanyasika ktk ndoa hivo wanatafuta mume atakae mpa amani, hupo teyari kuachana na yule mtesaji.
Na kuna wengine walitumia muda kustady au kufanya kazi wakasau kua maisha ni wawili wawili.
Wamekuja kustuka miaka imeenda, ingawa kipesa wapo fit.
Na kuna wengine walipoteza muda na playboy hivo wamefunguka na kutafuta wa maana humu ndani.
Pengine wanaitaji watoto na baba safi kimawazo, kielim na kipesa.
Mwanamke kila kona anatongozwa hivo anaweza kuwa na mpenzi lakini hasimpende au hawafit to eachother