Sitafuti hela ya kula,natafuta maisha

interested na ndizi nipo Dar naomba mwongozo
Tafadhali ni PM
jamani mimi wala sihitaji kupata mwanamke kwa njia hii na wala simlazimishi mtu na kuna watu wanachukulia utapeli au uongo.mimi msomi na naBET kisomi wala siBET kwakutumia mikeka ya EPL,LA LIGA AU UEFA.Hivi hii digirii yangu na hii mitheory na miFORMULAR niliyomezeshwa nikiitumia kuBET kwani kuna ubaya? Au wale wanaoBET kwenye mechi za mipira kila siku wanakula?
NB;ukiogopa sana kupata hasara utakufa masikini ni kheri kujaribu kuliko kukubali kuukumbatia umasikini
 
maziwa unasambaza mara ngapi kwa wiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…