stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Hata hizo comment wanafake piaWatu wa humu wanapenda sana kujudge kupitia avatar ama I'd utadhan hawajui asilimia kubwa wanafake humu kila kitu (na kwenye hii comment hawachelewi kutokwa povu)
Hujui ama???Hata hizo comment wanafake pia
Wakati hajapata.Toa sasa hiyo natafuta weka nimepata
Biashara matangazooo ndugu we...Kwenye profile pic ni wewe?