Damn you Ustaadh! I have an issue with you. Inaonekana shule ulikuwa mtu wa kuingia na honda ama nyenzo kwenye paper.
Captain Hadock si mtu wa swala tano na hana dini anakula kilaji tena hard liquor unawezaje kumfananisha na ustaadh
Munkari ulishashuka baada ya kupata gin on the rock ndio maana nimeamua kurudi kivingine. Tuendelee.
Kuhusu watanzania kuwa bongo lala naona unauliza ndevu kwa Osama. Kama sivyo jamaa kawaibia na bado anawatukana utasema ni nini kama siyo bongo lala