Sitakaa nihame mtandao wa Tigo!

Sitakaa nihame mtandao wa Tigo!

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Kwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet.

Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni

Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi

NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.

Namba yangu hio hapo kwenye salio
Screenshot_20211111-055803.png
 
Uko sahihi. Ila hakikisha huna taarifa sensitive huko maana wakiombwa taarifa zako na polisi Wana "comply". Na zinaenda hewani.
 
Uns
Kwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet.

Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni

Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi

NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.

Namba yangu hio hapo kwenye salio
View attachment 2006504
Mtandao wa tigo utaendelea kuwepo sababu kuna wananchi wakawaida Bado wanautumia lakini tayari kuna makundi makubwa muhimu wameshaukacha mtandao
 
Nimeamua kupunguza utitiri wa laini za simu, ambapo mtandao huu lazima ungekuwa namba 1 kwenye orodha ya kupunguzwa. Basi tu, siupendi tangu zamani, niliuona kama mtandao wa wanafunzi/vijana. Nimeamua kubaki na Laini 2 active za mitandao.

Wale wenye rangi ya njano/nyeusi waliniuzia rooter/line lakini huduma inasuasua, nao waboreshe huduma, vinginevyo...

N.B. Msukumo hauhusiani na matukio ya hivi karibuni.

20211111_111308.jpg
 
Uns

Mtandao wa tigo utaendelea kuwepo sababu kuna wananchi wakawaida Bado wanautumia lakini tayari kuna makundi makubwa muhimu wameshaukacha mtandao
Mtu mweusi sio wa kumwamini kwa asilimia [emoji817].
 
Back
Top Bottom