Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Una tigo tamu Sana. Gb5 buree
Mtandao wa tigo utaendelea kuwepo sababu kuna wananchi wakawaida Bado wanautumia lakini tayari kuna makundi makubwa muhimu wameshaukacha mtandaoKwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet.
Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni
Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi
NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.
Namba yangu hio hapo kwenye salio
View attachment 2006504
Mtu mweusi sio wa kumwamini kwa asilimia [emoji817].Uns
Mtandao wa tigo utaendelea kuwepo sababu kuna wananchi wakawaida Bado wanautumia lakini tayari kuna makundi makubwa muhimu wameshaukacha mtandao
Lengo kuu ndo hili, mengine zuga!!!NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.
Namba yangu hio hapo kwenye salio