Uchaguzi 2020 Sitaki CHADEMA washinde, na hawatoshinda

kwa taarifa yako cdm hata wakiweka tofari litashinda, hali ya maisha ndiyo yanaifanya ishinde wala sio ubora wa mgombea au chama
 
Siyo kwamba naukubali upinzani kwa asilimia moja,ila natamani CCM watoke madarakani kwa muda na kuwaachia Chadema kwa sababu tunataka kuona vyama vikijali zaidi wananchi kuliko kujali zaidi madaraka yao.
Tuanahitaji watu watakafuta sheria nyingi zinazowabana watanzania ili kuwaletea maendeleo,leo watu wanalazimishwa hata kusajili blogspot kwa kuwa ni sheria,sheria hii ya nini kwa watu ambao tungetumia blog hizo kupata hata matangazo ya watu wengine kwa kulipwa angalau shilingi elfu kumi tu kwa wiki,
Leo unasajili hata kurusha drones,jamani
Leo mafao hayapatikani kirahisi wakati michango tulitoa kiroho safi.
HAPANA.
 
Mbuzi wewe
 
Kwa maono yangu naona umewapia kampen chadema cz kusema kuwa kuna upande flan unaobebwa ni ukwl mtupu,mfano imekuwa destur ccm hata uuze bangi ilimradi unq kadi ya ccm bac n ruksa kufanya kitu ambacho akihisiwa tu mpnzan anafanya hivyo n kupotezwa au kubambikiwa case kabxa,yaan mwl Nyerere akiupinga sanaaa ukabila ila ss iv ukwel n kwamba uchama umekuwa mwiba mara mia zaid ya ukabila kitu ambachoc afya sanaa kwa dunia ya sasa iv
Ukiangalia kina mawazo waliouawa,Azory gwanda na kina Ben yote hayo n uchama na wala c ukabila,nakuwa na shauku cc kama taifa tuje tena na slogan ya kuukemea uchama wa uadui kwan tunakoenda hali inaenda kuwa mbaya zaid
 
Mgombea mwenza akiwa Mtwara kwa tiketi ya ccm ushindi kwa CCM unatokana na Umahili wao VITENDO VINAONGEA
 
Chadema itazidi kuwapa stress sana msipoangalia mnaweza kupata ugonjwa wa moyo.
 
Nyani Ngabu usihofu, Mungu huwasikiliza waja wake pale wanapomuomba kwa dhati!
 
Naona mmeanza kuchanganyikiwa ha baada ya kuwaengua nusu wapinzani inashangaza sana.
 
"Nyani Ngabu, post: 36671333, member: 188"]Mimi nataka utawala ambao hautokuwa unapendelea. Utawala ambao hautoangalia mwelekeo wako wa kichama.
''Mkinichaguliwa Wabunge wa Upinzani hamtapa maendeleo''. ''Ninyi ....mlifanya makosa ya kumchagua....Mpinzani ndiyo maana hampati maendeleo''
''Nikuteue nikupe gari halafu umtangaze mpinzani kashinda''
Lady Justice is supposed to be blind. She should apply justice without fear or favor.
Lady Justice hayupo Tz, na kama atarudi ni baada ya miaka 5.
 
Chadema ni matapeli ya kisiasa safari hii tutawapeleka shule baada ya October tutaanza histotia bila hawa wahuni wa kisiasa
wasubiri kupata wafia chama wakitegemea wachumia tumbo dola wataisikia wamepitishwa ubunge na udiwani wameanza kujitoa halafu useme kuna chama
 
Fine!

Hata kama hayupo, bado sitaki mtu yeyote anaye imply kwamba wewe ukiwa upande wake basi utapata ‘favors’ au ‘courtesies’ flani flani ambazo wengine hawana kutokana na kutokuwa upande mmoja na wewe ki itikadi na kimtazamo.

Au wewe unasemaje?

Kama serikali inaundwa na CCM wewe hupendi kuona watu wakosaji wakishughulikiwa bila kuangalia ni wa chama gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…