Point tupu.Kwa alivyoimba sitaki kazi hakumaanisha hataki uteuzi ..Kuna tofauti kati ya kutaka au kutafuta kazi na kuteuliwa kufanya kazi. Yeye Nikk hajaitaka hiyo kazi ya "Ukuu wa Wilaya" yeye kateuliwa na mkuu wa nchi kuifanya. Angeitaka hapo ndo tungemjaji na nyimbo Ile. Hata hivyo hakuwahi kuajiriwa Hadi alivyopata hii teuzi. Hivyo Nikk Yuko sawa
Temeke na mashoga wap na wap dada??Mbna hata temeke mashoga wapo kibao? Tena wanaongoza kwa wilaya za dar,
Wee unachekesha saan, huna ulijualo huko temeke mashoga ndo wamejaa kibao.Temeke na mashoga wap na wap dada??
Nmeish kote huko na Bado NPO kino na Temeke kwa navyojua mm kino mashoga wamezid Sinza kuna Mahal walipangiwa kabisa na kigogo m1 hv......Wee unachekesha saan, huna ulijualo huko temeke mashoga ndo wamejaa kibao.
Zilikkua ngonjera za FarajaNikki wa Pili alikuwa akiwaponda sana watu walioajiriwa mpaka akatoa wimbo wa sitaki kazi. Alisema yeye anataka kuajiri na sio kuajiriwa.
Swali, ameteuliwa uDC. Je, atakataa?