Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Njoo Zanzibar u
Hahaha good idea..... nakubali sana kamanda
- Nje ya mada: Badili ID iwe Nipo ZNZ ( badala ya Nipo Dar, "Just kidding" )
- Uwe na siku njema, Piga kazi
Mtazamo TU kakaPunde kijana atavuliwa ubingwa
Nje ya mada, pole kwa kuwa na uwezo mdogo wa kufikiliKuwa makini wengi huwa na maambukizi ya virus ๐ฆ vya ukimwi
๐Nakushauli mwananguNje ya mada, pole kwa kuwa na uwezo mdogo wa kufikili
Sawa kaka haina shida ahsante๐Nakushauli mwanangu
NakubaliKila la heri wa kwetu katika yote.
๐คฃ๐คฃ๐คฃna tabia ya kuwasogeza wakezet vina virefu na kudai kama hutaki nakuacha uzame komeni kabisa
๐๐๐๐Punde kijana atavuliwa ubingwa
Mkuu njooo Zanzibar ntakupokeaBeach boy zipo baharini tu ila zingekuwepo na ziwani ningeenda kufundisha watu๐
Yale yale ya bodaboda wa chamanzi na mzungu.Njoo Zanzibar uone watu wanavyojua kumwaga Hela.....
Mtaji ni mdomo wako na how smart you are.
Yani wazungu bana....kutembea nae beach nusu saa anakupa 50 usd.....
Hahaha sifungui hata ajira Portal.....