Sitaki kuamini kama kuna Makaburi ya halaiki

I know .. watu waliuliwa na mitutu ya bunduki ... Kinachonipa tafakuri ni je, waliwazika kwenye kaburi moja? Huu ni Uhalifu wa kivita na ubinadamu
Matendo hayo yalifanyika bila weledi ili kuificha jumuia ya kimataifa!

Nadhani jambo liliandaliwa mapema kabla ya siku husika.

Lazima kulikuwa na maelekezo kwamba, wanaouawa waka hifadhiwe wapi na wakazikwe wapi ili kuficha ushahidi😭😭😭.
 
nawaza kwa sauti na facts, lile eneo ni specila kwa ajili ya makaburi yani lipo reserved mwanzo makaburi yapo mengi tu wakaamua kuchumba mwisho wa plot kabisa kwenye edge kiasi kwamba mapaka eneo likajae makaburi itachukuwa miaka, kwaiyo gavo imejikaaanga hapo kuna possibly miili ipo
 
Arusha yapo wapi?

Mbeya yapo wapi?

Mwanza yapo wapi?

Naamini huko kote sio salama, ni lazima hizo akili zilifanyika.
 
Tuulizane mimi na wewe, ile miili ya ndugu zetu imepelekwa wapi? Achana na hizo stori za 1941...this is 2025 yani hakuna uhusiano wowote na huo mwaka umetajaaa....ndugu zetu waliopigwa risasi na mochwari hawapo, wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…