lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Kwa Sasa sheria za barabarani hapa nchini kwetu ni kama hazipo kabisa.
Bodaboda wanajiamulia Wanavyotaka,wanavuka zebra Huku wakiendesha Katikati ya kundi la raia wanaotembea kwa miguu.
Maderava wanapiga honi katika zebra wakiwa mbio wakati watembea kwa miguu wakiwa wanavuka,yaani mtembea kwa miguu Hana haki ya kuvuka zebra Hadi mwenye gari amuonee huruma.
Bodaboda hufikia hatua ya kutaka kuchoma gari moto iliyosababisha ajili bila kujali kua hata yule aliegongwa huenda ndie alievunja sheria.
Daladala,bajaji na bodaboda wanapaki zebra kwa ajili ya kusubiria abilia,hii imesababisha ajali nyingi sana za watembea kwa miguu wanaovuka .wanapaki kwa mtindo wa kublock zebra wakiamini mtu akivuka TU atapanda chombo chake,lkn kinyume chake watu wengi wamepelekea kugongwa.
Kwa kifupi sheria za barabarani hazifuatwi kbs na inayoonesha polisi ni kama wamekata tamaa.
Watoto na wazee ni wahanga.