Sitaki kuamini kua mkeka huu unachanika!

Hajasema huyo mwanamke ataongoza kwa muda gani mkeka bado upo valid mpaka pale huyo mwanamke atakapotoka madarakani.

Ongeza mzigo huu mkeka unabutua
 
Cashout kama inalipa, toa pesa yako kaka.Sema mbona mkeka bado huko active tu.Ukiwa na subra huu mkeka unachance ya 80% win
 
Dakika za jiooooonioi afanaleki mkeka utatiki
 
Nimekuja kugundua, watu wengi tunashindwa kutimiza malengo na ndoto zetu kwa sababu tunategemea FATE Ndo ituamlie badala ya CAUSE AND EFFECT.

kwa ufupi ni WISHFUL THINKING vs CAUSE AND EFFECT.

Tukitaka matokeo fulani ni lazima tuyasababishe sisi wenyewe sio kuombea yatokee by default
 
Akili kubwa kunywa bia nakuja kulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…