Sitaki kuamini rais nae katudanganya!

MPARE KIBOGOYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2013
Posts
405
Reaction score
279
kwenye hotuba yake ya mwezi uliopita J.K alinukuliwa akisema serekali itaajiri walimu zaid ya elfu 30 mwezi wa januari..... ili januari ndio hiyo inaaga. dah.. tired!!
 
Mh. Rais katika salamu za mwaka mpya, "Mapema mwaka ujao tutaajiri walimu wapya 36,100 kati yao 18,100 wa shule za msingi na 18,000 wa sekondari.". Pia mkumbuke aliahidi ifikapo wiki ya tatu ya mwezi January atakuwa metangaza majina wa Wabunge wa Baraza Maalumu la Katiba - mpaka sasa kimya!
Maoni yangu: Ikiwa kama hizi ahadi chache hazijatekelezwa kwa wakati, tusitarajie zile ambazo hazikupangiwa muda maalumu kutekelezwa.
 
Naibu wazr mpya anaangalia kama kuna nafas ambayo anaweza kuwaweka ndugu zake, ambao hawajasoma wapo kijijini wanalima,akishapanga mambo atatangaza tu soon!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…