Hivi..is that statement true??mtu akikwambia hivo utajisikiaje??can you say its over without breaking someone's heart??
i have been with this guy for 4 years now-very nice guy.ila ndo ivo tena its a long distance thing.He is the guy someone dreams about but it is not real between us-its like we dont want to hurt each other and so we pussy foot around each other.
Mimi nimechoka..i want something real.he wants to get serious with me but i dont think its fair-am not the girl he is in love with!
Sitaki kumuumiza lakini jamani..
i want something real..to say am mad when i get mad!
usichezee bahati, tena udhaniapo umesimama angalia usije ukaanguka. kumbuka wewe ni nyumba ya udongo hustahimili vishindo.
in a way naogopa..napata wapi mwanaume mwingine wa kunijali hivi??
Kumbe ndio maana hata Asha Rose Migiro ameachana na muwewe kwa sababu ya Distance!! Watoto wa siku hizi mna tabu sana halafu mbaya zaidi mnabore hata hamueleweki hasa kwenye maisha ni nini mnachohitaji!!in a way naogopa..napata wapi mwanaume mwingine wa kunijali hivi??
Aside tena??me najaribu kupungiza mzigo alafu wewe unataka kujiongeza??!