Ukibebwa kunja miguu
iburuze chini wajanja wakunyofoe, utajibeba badae
ila kama humpendi, piga chini.
Kumbe ndio maana hata Asha Rose Migiro ameachana na muwewe kwa sababu ya Distance!! Watoto wa siku hizi mna tabu sana halafu mbaya zaidi mnabore hata hamueleweki hasa kwenye maisha ni nini mnachohitaji!!
ukishikwa....shikamana!
I am afraid to say sorry but you can ask Preta she might know where we come from and where we are!!the real thing you have to build your self!!if you meet a real things expect anything from owner who build it!!:A S wink::A S wink::A S wink:i want something real..to say am mad when i get mad!
I want a real man by my side..kisichoeleweka hapo ni nini tena??
usichezee bahati, tena udhaniapo umesimama angalia usije ukaanguka. kumbuka wewe ni nyumba ya udongo hustahimili vishindo. nyie mnatabia moja veri komoni.. :director: kupenda ubwete ubwete, umatemate ndio unawasumbua...ni haki kuumia vitani kwa kuwa ulisaini na kuapa kumoyo..mkiwa wawili tena UCHI wakati mwingine!! sasa basi jifunzeni kujitegemea kisha tasnia ya kupenda jifunze kugawa love 50% yeye 50% wewe= mkiconfront jubu ni ZERO:croc:
kumbe anakujali ? so wht are u lookin for in yr life? someone to hurt yf feeling?nahisi bado mtoto ukikuwa ndio utajua gudluck my dear
Hivi..is that statement true??mtu akikwambia hivo utajisikiaje??can you say its over without breaking someone's heart??
i have been with this guy for 4 years now-very nice guy.ila ndo ivo tena its a long distance thing.He is the guy someone dreams about but it is not real between us-its like we dont want to hurt each other and so we pussy foot around each other.
Mimi nimechoka..i want something real.he wants to get serious with me but i dont think its fair-am not the girl he is in love with!
Sitaki kumuumiza lakini jamani..
in a way naogopa..napata wapi mwanaume mwingine wa kunijali hivi??