best, hizi pole yangu (kwa kuwa kichwa ngumu) ama kwa mhanga (kwa kutokuwa strong)?
Nijibu kabila sijakurukia kwa kichwa
Kama vipi piga punyeto fleva ni ile ile
Kama vipi piga punyeto fleva ni ile ile
No offence intended, muambie rafiki yako anaowadrop akupe hint mapema. The easiest means ni ku-act kama mfariji. Wenye kichwa ngumu kama king'asti wapotezee, u are not as strong.
All the best, kila mtu kaumbiwa wake.
hutaki kurudi nyuma......songa mbele kaka!!!!
ha ha ha ha, uliondoa kaavata kako na smg la kimarekani, karudishe bwana
lakini je ile dhana ya comparability haitakuwemo? na je ile ya mahawara hawaachani? just from my view
Nisaidie basi mshkaji, Nyani Ngabu na Kongosho nahisi wameniibia ile avatar! Nimeitafuta hadi darini na basement na sijaiona. Una contact usalama wa taifa?
Kwa habari ya huyu mwenye kukataliwa kila upande, hakuna ujanja. Achukue leftovers afu a-assume total control na kumkimbia rafikiye.
sitaki kurudi katika hisia za kukataliwa lakini nashindwa jinsi ya kusonga mbele...
ukisema hivyo unakubali kushindwa.....kutaka tamaa ni dhambi mbaya sana na unajikosesha kuishi maisha uliyopaswa kuishi!!! It might take time , try different approaches!
Hakunaga kushindwa humu duniani banaaa.....ila usilazimishe maana unaweza kuharibu!!!
Ninayo haya kwangu, ijia basi.
Back kwa mtoa mada.
Tatizo unatongoza kama wajibu au kazi, au unaona kama kuwa na mpenzi ndio unakuwa kamili bila kujali mnafurahiana ama lah. sioni kama uko tayari kuwa na mpenzi au unataka kuridhisha ' your EGO' kuwa na wewe unaweza kuwa kwenye mahusiano.
Mwezi huu tu ushakataliwa na wawili na ushapenda mwingine tena. How?
Kuwa katika mahusiano si wajibu au lazima ni hisia kati yenu wawili, sioni kama umeshapenda kiasi cha kuwa na muwashawasha wa mapenzi kiasi hiko.
Lakini, mechi za mchangani si unapiga?
Nisaidie basi mshkaji, Nyani Ngabu na Kongosho nahisi wameniibia ile avatar! Nimeitafuta hadi darini na basement na sijaiona. Una contact usalama wa taifa?