Sitaki kurudi nyuma...

Ha ha ha ha, kuvaa personal protective equipment ni A na kuangukia kichwa ni B.

Nimefurahi tu kuona umeangukia kichwa regardless ya kuwa umejilinda.
Hehehe, si mpaka niangukie kichwa? Naval helmet na safety harness throughout. Haili kwangu, ubishi ni genetical hapa!
 
kakubali appointment na mimi in a friendly way hiyo kesho lakini bado nahisi presha tupu..........msaada plz,nisaidie nisirudi nyumaaa....
 
aisee hii inatia simanzi,pitia makala za mahusiano na saikoloja especally zilizojkta ktk issue za confdences,kwa mtaamo wangu ulipodropiwa kwa mara ya kwanza inaweza kuwa iliathiri namna yako ya kujiamn,anza kujiamin(simaanishi hujiamin kwa sasa) na kila mmoja mwingine atakuamin,anza kujpenda zaid na kila mwingine yeyote atakupenda ol the best!
 
Lakini, mechi za mchangani si unapiga?

Hizi kwa sababu hazihitaji usajili nadhani atakuwa anapiga..sema kitu cha premier league ndio mpango mzima..na ndio hapo anapokwama!
 

Confidence right,then what next kuna mbinu yoyote ya ziada inayohitajika.....
 

Good approach but nahisi itachukua muda mrefu sana,na hupi muda mwafaka wa kumwaga ulezi mpaka aelewe....
 
Ahahahaha inaaminika hamna mwanamke atachomoa mbele ya pesa ilihali umefikia viwango vyake vya kuhongwa na hivi yupo single huyo unaemtaka sasa we muhonge hadi akae sawa, unajua kuhonga si ujinga ila ni nature ya mwanaume.
 
Ahahahaha inaaminika hamna mwanamke atachomoa mbele ya pesa ilihali umefikia viwango vyake vya kuhongwa na hivi yupo single huyo unaemtaka sasa we muhonge hadi akae sawa, unajua kuhonga si ujinga ila ni nature ya mwanaume.

Kama ni kuhonga ,mbona wanaofanikiwa ktk mapenzi sio wote wahongaji, na nitahonga mpaka lini usawa huu mgumu.....
 
Hata mimi naanza kupata wasiwasi, yaani umeguswa tu kidogo, unataka kuwarukia watu na vichwa. Swala la mapenzi yahitaji kubembelezana. Sasa kwa hali hiyo mwezangu utaweza. Mi naona tatizo lako ni ubabe, hivyo kila mmoja anataka kubaki na sura yake bila makovu, ndio maana wanakumwaga. Pole.
 

I m too polite even by appearance.......
 
Kama ni kuhonga ,mbona wanaofanikiwa ktk mapenzi sio wote wahongaji, na nitahonga mpaka lini usawa huu mgumu.....
Sio wote wanaofanikiwa katika uhongaji ila pia wengine wanafanikiwa kwa kuhonga, give it a shot afu ona matokeo yake inaweza ikawa ndo njia kwako wewe.
 
Unfortunatelly there is no love in the world there is only buznes
find money and money will bring bitches
 
Hahahahah, yaan kasheshe ,,, sasa tatizo nini mkuu???? No honey without money,, pole sana
 
Unfortunatelly there is no love in the world there is only buznes
find money and money will bring bitches

Its true but I dont need a bitch.....
I need a woman,a lady I can walk along with....not just a b***h to F....
 

Kaka cheki hapo kwenye bold jichunguze vizuri, wadada wengi hawapendi mtu mwenye maneno kibao afu vitendo ziro. nasema hivo coz kuna wanaume wanapotongoza utadhani wamemeza memory card mpaka inakuwa kero. ahadi nyingi hata ambazo huwezi kutimiza.
 
Kaka cheki hapo kwenye bold jichunguze vizuri, wadada wengi hawapendi mtu mwenye maneno kibao afu vitendo ziro. nasema hivo coz kuna wanaume wanapotongoza utadhani wamemeza memory card mpaka inakuwa kero. ahadi nyingi hata ambazo huwezi kutimiza.

Maneno kwangu sio mengi,ni mtu wa vitendo zaidi.
 

Tatizo linaweza kuwa hapo nilipo bold na hayo maswali mengine uliojiuliza maana wakati mwingine labda approach unayotumia labda imepitwa na wakati maana kama kuna watu umewazidi kipato na kimtazamo wanakupiga bao, jipange ujue kinadada wanataka nini maana wakati mwingine kinakaka huwa tunadhani kinadada wanataka ela kumbe ela ni matokeo baada ya kukubaliwa. Kuwa real yaani kuwa kama wewe sio unamtokea mrembo alafu unajifanya babu kubwa au unajifanya una akili za darasani, wakati mwingine unatakiwa umpe assignment yule unaemtokea ili na yeye afanya kazi ya kuonyesha shauku ya kutaka kukufamu in course of your discussion sio unajinadi kama unagombea ubunge kiasi kwamba demu siku moja amekujua ukoje kwani atabaki huyu nae day one tu nimekutana nae mipango kibao. Alafu utumie vijisenti kidogo hata kutoka outing na kuongea other issues apart from relationship na ndio maana huwa tunaulizana hobby zetu katika maisha ya kawaida ili upate wigo mpana wa kuongea nae ili hata ukiagana nae kesho yake awe na ajenda ya kuongea na wewe au japo ukikaa kimya anapata shauku ya kuongea na wewe kwa simu. Pia usiwe king'ang;anizi nenda mdogo mdogo kwa kuheshimu kile anachokuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…