Sitaki kurudi nyuma...


Nashukuru kwa mchango huu ntafanyia kazi ushauri wako kwa umakini,
Kiukweli kwa haya maumivu saa zingine najiona tofauti kabisaa " feelings of becoming mad" sitaki kukata tamaa lakini kwa vitu nilivyopitia sijioni kama kuna future katika mahusiano.Mbaya zaidi linapokuja swali "shemeji mzima ? Kila siku ni kujiuma uma tu , moyo uliopondeka. Kila ninachokiandika ni ukweli mtupu ,kama una njia pia ya ziada kunisaidia kuondoka katika janga hili unaweza kuni-pm
 
damn ! rejection tena ,naombeni msaada ndugu,kwa nini wengine wafanikiwe katika mapenzi,mimi tu ndo nionewe na hawa wadada,they come close to me only when they are in trouble, kwa nini mimi tu wakati stori za siku hizi wanasema kutongoza imekuwa rahisi mbona sasa ni ngumu kwangu
 

eh ina maana kakukataa nae?uckubal kushndwa jitahd ukpata mdada ukmpenda jitahd kujenga urafk ht ujue anapenda nn na nn hapend..jitahd kumuonyesha unampenda kwa vtendo zaid kulko maneno..
 

Huyu jamaa mjanja anataka demu kiurahisi humu MMU, walio interested jaribuni ku pm
 
mmhh km ni mkristu nakushauri ukaombewe,una roho ya kukataliwa
 
Du ungeenda Uwanja wa FISI mbona bei rahisi na hawamkatai mtu, wewe kwanini hutakoi kuoa sema wazazi wakutafutie km mdomo mzito
 
Du ungeenda Uwanja wa FISI mbona bei rahisi na hawamkatai mtu, wewe kwanini hutakoi kuoa sema wazazi wakutafutie km mdomo mzito

uwanja F sio mpango kabisa katika mipango ya maisha yangu na hata kama nikienda nitafanya ngono lakini sio kupata mapenzi
Ahsante kwa uhusika wako na ushauri pia
 
Huyu jamaa mjanja anataka demu kiurahisi humu MMU, walio interested jaribuni ku pm

Sio kweli ,ningetaka demu mahala hapa ningesema wazi,siamini saana katika kutafuta demu kwa njia unayohisi wewe, kinachoniumiza mimi ni kukataliwa na wasichana ambao nakuwa na hisia juu yao,kiasi cha kuhisi kuna roho ya kukataliwa inaniandama
Inauma sana kama uko kwenye hali hii,kama haujawahi kuwa hivi huwezi jua maumivu yake.
Tuzidi kushauriana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…