Sitaki na sitakaa niamini Claudio Bravo na kipa bora kuliko Joe Hart..

Hata mm naamin hivo

Hart kumfunga ni ngumu , ila bravo ni pazia

Binafs huwa hart akiwa golin nuamin, kwa bravo hata timu za chin zinamtungua muda wowote


Pale barca alifichwa na uwezo wa kikosi
Point...Barca Viungo walimlinda sana Hart ni kipa anayeweza kuokoa michomo ya hatari ya kila aina hata akibaki na forward
 
aseee Joe Hart alikua anajitahid sana alikua hawez fungwa magoli ya kizembe km Bravo japo nae pia alikua na mapungufu yake lkn yalikua yanavumilika
 
 
 
Pep alifanya maamuzi ya kumleta Bravo kwa vigezo vyake alivyojiwekea hata hivyo alikurupuka sana kumtoa kwa mkopo Joe Hart, angekaa nao wote wawili mpaka Bravo azoe EPL.
Kwa jinsi hali ilivyo sitashangaa kusikia Hart karudi January.
 
JOE hart ataendelea kuwa bora sanaa Goli la pili la Totenham Joe Hart angeokoaa...
 
Bravo pazia

Washamtungua huko

Huyu jamaa anawakosesha city chance ya kufight pale juu. Sijui lini Pep atashallow pride yake na akubali kufanya changes. Ujuaji utawacost hata top 4 wasipojiangalia mapema.
 
Mahaba ya Pep na upendeleo wa wazi ambao waspain wengi wanapenda kufanya ndo ulimtoa Hart .Malipo hapa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…