Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kuna watu huwa wanaudhi kweli wanakera mfano mpo watatu mnaenda sehemu mkifika sehemu mnaagiza mmoja wenu anajifanya kama hali hivi haagizi ,cha ajabu kikiletwa chakula chenu anasema ngoja nionje ,,kuonja mnakula nae mpaka mwisho ,sipendiiiii sipendiiiiiiii (kwa sauti ya G wangu) hivi mnaenda sehemu si kila mtu aagize chake jamani maswala ya kufika sehemu unajiona sister du kumbe moyoni unataka na ukiwa nyumbani unakula kwelii naomba muache hii tabia mnatuudhii sie wapenda kufukia ,,etii agizeni hicho hicho mi ntaonja tu sasa mimi aibu ishaganikata nasema hapo hapoo chakula changu huonji wala kulamba .
Kuna watu wanajifanyaga masister du sijui dadaduu ,mnaenda kuangalia movie mnakuta popcornzinagaiwa bure unasikia aaa chukueni tu nyie mie hapana,basi sisi tunabeba zote tatu tukifika kule ndani tukikupa hukatai tena popcorn ,hivi kuonyesha watu humaind vitu kumbe unataka au aibu kubeba.
Kuna watu wakifika sehemu wanakuwa na tabia nyingine jamani basi anataka na nyie mumuige ,mimi nishazoea kucheka kupiga story utasikia unacheka mno punguza heee jamani nikachekee kaburini maisha yenyewe mafupi hivii akii ,kuna rafiki yangu huwa namzodoa namuambia masharti sitakii,lakin nna rafiki yangu fulani hivi yaan akili zetu zimepatana kabisa hatuwekeanagi masharti tukila tunakula haswaaa hatubakishi,maisha ya kuigiza hatuyawezi.
Ooo kinaletwa chakula unakula kidogo uonekane unakulaga kidogo wakati ukiwa peke yako msosi unaopiga jamani tuache kuigiza ishi unavyoweza tu,kuna zile tabia ni mbaya kila mtu anajua namna ya kuziepuka mbele ya jamii au watu ,,hawa hata kitandani nadhani wanajifanyaga bikira kumbe ashapitia kila aina ya ukuni
Mtoto wa kike unajulikana sio bikira ukiingia room onesha kabisa unautaka ukuni na uushughulikie sio kujifanya bikira inahusuu mfyuuuu
Lakin hii sitaki nataka hii muiache msiwe mnajivunga jamani sema nawe yanayokukera ukiwa na baadhi ya watu wanaojifanya sitaki nataka