Strong25
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 394
- 834
Nawaambia vijana. katika kitu ambacho hutakiwi kabisa kukiwaza kwasasa nikuishi na mwanamke kabla yandoa
Hii mitindo yamaisha imekua changamoto sana hasa kwanyakati hizi.
Tafuta hela tafuta mwanamke mzuri kias mchunguze kidogo muoe. Haya mambo sijui unazalisha kwanza mara sijui sogea tuishi watu wengi wametoka mchezoni kwamtindo huu
- Sijui nisemeje ili nieleweke ila ww elewa hivyo. Kuna watu wamezaa now day kula mtu yupo namishe zake ila baba mtoto chamoto anakipata kupitia huyo mtoto.
_Kwa lugha nyepesi ukitaka kuoa usiweke Mavigezo meengi maana hutaoa. Kukaa na mtu miaka mingi bila kuoana nikumaliza muda bila sababu yamsingi . Wewe muoe kama wahovyo au mzuri utajulia huko huko.
- Utakaa nae miaka nenda rudi bila kuoana na mkioana mwaka hammalizi mnaachana vp kuhusu hizo garama ulizotumia kwake miaka yote hio..?
(kumlisha , kumvisha, akiumwa niww yan kila kitu chake ni ww alafu mnaona mwaka mmoja unagundua hana sifa zakua mke 😁 mnaachana bro utakua ww nimjinga kiwango chalami
Mwisho kabisa vijana tutafuteni pesa_kuna bondia juz kafa ulingoni akiwa anapambania ndoto zake
Kwahiyo vijana tutafute pesa wanawake utawakua huko mbele
NAWASILISHA