sipo dar mkuu.najua kwa nini umeulizaí ½í¸í ½í¸
muda wote utapiga nae story za hivyo?utachapiwa tu hakuna namna hahahTill now trump not yet get vote and clinton is coming to the econimic intergration during WWII where by colonialist increasing trip to mars up to saturn.
diamond become was the imperialist power for that is gonna be something big and led the increasiment of surface of earth during vote
this was were category to production and consumption of communication and introduction
Nipeni mzungu mimi nioe hizo ndo story ntakazopiganae na lile neno kuu nalifahamu si ni i love you
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu uchokozi sasa Paulo
Dada mmoja mjamzito wa mkoani ni sawa na Wanaume 50 wa dsm kwa UJASIRIwewe ni dada wa mkoani umechoka kuliko umri wako bisha
We kuchapiwa mm haiwezekani itakuwa na sawa kuibadili mwelekeo dunia chini juu,juu chini unadhani itachukua miaka mingapi he he he mpk nimeshakuwa unsekeleton😀😀😀muda wote utapiga nae story za hivyo?utachapiwa tu hakuna namna hahah
Unajifanya mmbea kuliko Warumi?Mipango yangu ilikua kuoa mzungu, nimesitisha kwa sababu moja kubwa, raha ya ndoa ni umbea, mnaanza kumsema jirani wa kwanza mnaendelea wa pili, bosi, alafu mnafanya tendo kisha mnalala, nikioa mzungu haya hayawezekani, umbea na kizungu wapi na wapi.
umbea wa warumi umezidií ½í¸í ½í¸í ½í¸Unajifanya mmbea kuliko Warumi?
kiingereza hakijitoshelezi kwa maneno ya shombo.. mfano unataka kumsema jirani "kigari chake chenyewe kimkweche kakinunua milioni tatu kinatoa moshi mweusiiii ka soda ya kipapli"Kubali tu hapa ishu ni lugha, mbongo na umbea ktk lugha ya malkia ni nitihani mgumu sana.
wazungu hawana chura.tuache hiyo mada kwanza.ushanichanganya miss.nimekuelewa.hiyo picha ni yako?hahahKipindi unafanya maamuzi pia ulikuja kutangaza humu kama unavyotangaza sasa kuyavunja maamuzi yako? Na kwa nn ulitaka kuoa mzungu?
umeua mkuu hahahkiingereza hakijitoshelezi kwa maneno ya shombo.. mfano unataka kumsema jirani "kigari chake chenyewe kimkweche kakinunua milioni tatu kinatoa moshi mweusiiii ka soda ya kipapli"
sa hapo unasemaje kuntu kama hizo kwa kingeli..
wakina zari chukueni nyie, akina bi chau nipeni mie.
hahah umeona ee shunie.mwambie yule mzungu anakumendea mwambie akuache .waswahili tuchamkie fursaUmbea wa kiingereza haunogagi kabisa
mm wangu mtanzaniahahah umeona ee shunie.mwambie yule mzungu anakumendea mwambie akuache .waswahili tuchamkie fursa
Umenifurahisha AzarelDada mmoja mjamzito wa mkoani ni sawa na Wanaume 50 wa dsm kwa UJASIRI
Mwanaume mmoja wa dsm ni sawa na wanawake 100 wa mikoani kwa UMBEA.
umeandika nini mkuu.ebu soma ulichoandikaDaaaah ndio maana wanaume wanapenda kulelewa kumbe kisa wapate muda Wa kutosha Wa kupiga umea? Na wanawake wanakubali kubeba majukumu sababu ubuyu ndio asiri yahoooo brother k bhana basi kumbe wamebadilisha majukumu tu.
Ha! Haaaaa!!Dada mmoja mjamzito wa mkoani ni sawa na Wanaume 50 wa dsm kwa UJASIRI
Mwanaume mmoja wa dsm ni sawa na wanawake 100 wa mikoani kwa UMBEA.