Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 490
Huyo mpenzi wako yuko humu JF?Wakuu kwa sasa naona napoteza na sitaki ushauri. Mpenzi wangu ameniblock everywhere sijui nampataje. Nimemtumia email hajibu kitu kwa hiyo niko hovyo sana. Tayari nimespend some milion TZS ili kujiweka sawa ila bado namkumbuka mama yenu aisee. She was my manager, nikitumia hela hovyo ananikumbusha nk na mambo kibao.
Kimsingi nashindwa fanya kitu cha msingi kwa sasa zaidi ya kukaa kula ulabu ili kuwa sawa hiki kipindi cha mpito. Kwake nilishaapa kumchukua nimuweke home, ameshafika kijijini kwetu na kijijini kwao wananijua ila ndio hivyo ngoma imekufa juu kwa juu yaani hapa naumia utadhani nachinjwa na msumeno.
Siwezi kurupuka kuchukua mwanamke mwingine maana nimespend miaka kafhaa na huyu dear ambapo akakaa akilini ile yenyewe. Kwa sasa kila kitu nafanya namkumbuka huyu dear.
Najitokeza kuomba radhi kwa yote my dear rudi tuendeleze mipango yetu.
Acha tu, ila ndio hivyo sitaki ushauriBreak-up ya namna hiyo huwa chungu kumeza.
Huwa haisimuliki,ni maumivu mtindo mmoja.Hakika hakuna cha kukushauri maana moyo huwa haushauriki.
Mwanamke akijua unampenda huwa anazidisha kukuvuruga,ulikosea tangu mwanzo.
MWANAMKE AKIWA ANATISHIA KUACHANA AU MKAACHANA USIJERUDIA HUO UJINGA WA KUANZA KUMBEMBELEZA HUO NI MTEGO.UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUJIKAZA KIUME,UGULIA NDANI KWA NDANI BUT NEVER START TO CHASE HER!!!!UTASHANGAA NDANI YA WIKI MPAKA WIKI MBILI ATAKUTAFUTA.HAPO NAPO USIANZE KULALAMA WEWE FANYA KUMPOKEA NA JIFANYE HUNA HABARI NA SABABU ZA NYIE KUACHANA,HATARUDIA HUO UJINGA TENA!!!WANAWAKE HUWA WANATISHIA ILI KUJUA UVUMILIVU NA UNGANGARI WAKO BWANA MDOGO.
Ukimrudia ni mateso,ukikaa mbali nae ni mateso.Chagua mateso yepi unayoweza kuyamudu.
NB;Tafuta mwanamke mwingine kisha fanya marekebisho kwa yale mapungufu uliyokuwa nayo kwa huyo nyongo mkalia ini wako wa awali.
Wanawake wote ni sawa usipagawe.Jambo la msingi jua kuwa unavyomyenyekea au kumfatafata ndio unazidi kumkosa.Jikeep busy acha ajichanganye huko akiona unaumuhimu atarudi.Kisha na wewe utapima kama bado anastahili kupewa nafasi.
Wataalamu wa mambo haya wanasema kwa kawaida kama imepita siku 60 mtoto hajarudisha majeshe,basi fanya mambo mengine hapo hakuna mapenzi.Muache aende zake.
Aah masuala ya kutoa namba halafu nikute ndio umenichukulia inakuwaje?Weka namba zake tukuombee msamahaa
Mwenzio kaandika sana ujue?Acha tu, ila ndio hivyo sitaki ushauri
Nimesoma mawazo yote kwa uzuri ila ndio hivyo kwa sasa nataka mrembo wangu arudi nyumbani. Gharama ya kuondoka ni kubwa kuliko nikivumilia visa vyakeMwenzio kaandika sana ujue?
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Ufanikiwe aiseeh, Mungu awape wepesi msameheane muyajenge.Nimesoma mawazo yote kwa uzuri ila ndio hivyo kwa sasa nataka mrembo wangu arudi nyumbani. Gharama ya kuondoka ni kubwa kuliko nikivumilia visa vyake
Mapenzi sometimes ni uchizi,na ukicheza unadata kwelikweli.Ufanikiwe aiseeh, Mungu awape wepesi msameheane muyajenge.
Mapemzi konyoooo! Unaweza uamini ni wewe aiseeh!Mapenzi sometimes ni uchizi,na ukicheza unadata kwelikweli.
Kijana kaamua kupenda na anakwambia kuliko kumkosa mtoto bora avumilie visa kudadeki๐๐๐
mapenzi yafutweeee๐๐๐๐
๐๐๐๐Kmmk๐Njia zilizotumika hadi jamaa kukataa ushauri na kuomba radhi kwa wakati mmoja.
View attachment 3381367
Wangoni hatushindwi jambo! Aseme tuTaja I'd yake, tukusaidie msamaha wako.
Poleee mwayaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kijijini kwao kamuulizie, ikiwezekana utoe mahari kabisaNimesoma mawazo yote kwa uzuri ila ndio hivyo kwa sasa nataka mrembo wangu arudi nyumbani. Gharama ya kuondoka ni kubwa kuliko nikivumilia visa vyake