Sitaki wa kike...!

mkuu ma beki tatu wengi ndivyo wanavyo gawa mzigo siku hizi ukizingatia kuna misa ya saa kumi na mbili alfjiri ....tena wanapelekewa moto na wauza maduka ......sodoma na gomora ishanuka mkuu
 
Nature ichukue mkondo unaokubalika kijamii Bwn! Kama we mzazi wa binti huyo inauma mno!

Kwa hiyo wewe kwa maoni yako ukiwa na mtoto wa kiume na anamla binti wa jirani yako utashangilia? Hapa issue sio nani anakula na nani analiwa!. Kama ungesema hutazaa kabisa ningekuelewa vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…