Sitakuja kumsahau huyu nesi!

Vp mkuu mlienda kupima maana ugonjwa pendwa ndo ulianzia hapo
 
Hiyo ndio inaitwa utani utani jipu likatumbukia pwa, hongera mkuu umeweka heshima kwa wanaume, je kale kamdudu kalikukosa
 
nowdays naogopa kale kaugonjwa ka kisasa, even mama watoto napita na ndom vijana endeleeni kupita kavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…