Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Anabadili tu user name,Huyu amewahi kuleta mada pia inayofanana kila kitu na hii iliyoanzishwa leo, na aina ya uandishi ni ile ile.
Nyuzi kama hizi siyo za kupandishwa jukwaani, sijajua moderators hili wanalichukuliaje.
Humu ndani tajiri anaitwa maskini, maskini anaitwa tajiri.Huwa mnatumia utaalamu gani ku determine this is kapuku and this isnt?
Hakika, hili walitazame na walichukulie hatua.wasipochukua hatua za haraka,hii forums itajaa hawa kina upinde.
Huwezi kujipenda mwenyewe Bali unaweza kujijali tu anyway usio Kwa sababu unampenda mwanamke tafuta mke mnaeweza zungumza lugha moja hapa naamanisha mawasiliano mazuri.Sitaki kupenda nikaishia kuumizwa
Sipendi ngono, natafuta hela. Sitaki mawazo ya kuwazawaza, najipenda mwenyewe tu
Maana nilizaliwa mwenyewe na nitakufa mwenyewe. Siamini kupitia mapenzi, naamini kupitia pesa
Dah mkuu uko vizuri unaanza game uko nyuma goli tatu, utaweza kuchomoa kweli 🤔Huyu nae limemkuta huko. Kaa kwa kutulia achana na viapo.
Nakumbuka mim huyu nilikua mmoja kati ya wanaume waliokua wakipepelusha bendela ya hakuna kuoa single maza lakin saiv nina mke mwenye watoto watatu na kila mtot ana baba ake. Sjabahatika kuzaa nae ila nampenda
pole mkuu wadogo zake Seran wamekufanya nini?Sitaki kupenda nikaishia kuumizwa
Sipendi ngono, natafuta hela. Sitaki mawazo ya kuwazawaza, najipenda mwenyewe tu
Maana nilizaliwa mwenyewe na nitakufa mwenyewe. Siamini kupitia mapenzi, naamini kupitia pesa
mkuu ukiwa na hela hela unapata ngono ila si mapenz ya kweliUkiwa na hela unapata mapenzi ila kama hauna jipende tu mwenyewe
Kumbe ndio maana alikufungulia uzi kwa ile Chadema 2030 au selina tikili
Kuna shida mahali.Humu ndani tajiri anaitwa maskini, maskini anaitwa tajiri.
Mwerevu anaitwa mjinga, mjinga anaitwa mwerevu, , mambo yako vice versa Mkuu.