Sitakusahau Morogoro Msamvu

Bro nipe mrejesho. Ilikuwaje?
 
Yaani Mimi ningekuwa ni boss wako nisingefanya yafuatayo: nisingekuuliza chochote kuhusu Hilo tukiwa safarini...lakini baada ya Safari ningekuita ofisini na kuzungumza nawe kuhusu masuala ya nidhamu ...ukiwa na boss you have to behave yourself...ningekusomea risala ya umuhimu wa heshima na nidhamu kazini...halafu ningetafuta Safari nyingine na kusafiri na wewe Tena kuangalia Kama umejirekebisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…