Hueleweki kwa sababu unaandika kwa kutumia vifupisho vya sms. Lugha pia haijulikani kama ni kiswahili au kiingereza. Ninamaanisha kiswinglish chako hakieleweki na umejieleza kifupi mno.
haswa yaan inaonekana huyu ndugu kapanic sana, ndio maana kuanzia title kaharib hata anapojaribu kuelewesha watu bado anakosea kuandika, mapenzi kitu ingine kabisaaaa...............pole yake hata hivyo