Sitamsahau huyu beki Mholanzi!

Sitamsahau huyu beki Mholanzi!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,153
Reaction score
2,647
Huyu beki enzi za uchezaji wake pale Man U,naona alikuwa beki makini na mwenye mvuto,sura yake kwa kweli ni tamu akiwa kazini ni nadra sana kukuta akismile kama wachezaji wengine.Kwa maoni yangu huyu ni the best beki ever katika historia ya soka na Netherland National Team!

images.jpeg

2.jpeg

3.jpeg
 
Huyu aliwaambia kina Patrick Kluivert "...mnakosa penalt uwanjani bana...hizi tano tano na mie nipewe...", Rijkaard akampa, akenda kupiga akaipaisha hiyooooo...Italy wakabebana.
 
Lkn jamaa ana radha yake bwana hata akifanya makosa kuna vityko vya aina yake anavifanya nitakuja hapa na vituo ngoja nivikusanye alaf ntavidondosha hapa jamvini!
 
Ah jap stam, kiboko yake alikuwa owen

Owen alikuwa anamkimbiza Garry Palister na si huyu kamanda.

Ok well Stam atakumbukwa daima kwa kuwa alikuwa ktk ule ukuta uliotajwa kuwa ukuta bora kwa miaka 10 iliyopita.

2. Cafu
3. Maldini
4. Stam
5. Nesta...

Yaani huo ukuta hata mzee mwanakijiji anaweza akakaa kipa na asifungwe.
 
Hata Fergie alipomuuza badae alikuja kujuta sana sasa ni Scout wa Man United uko Holland
 
Niliipenda safu ya ulinzi wa Man U mwaka 1999 sabu ya Jaap Stam! Hata ligi ya UK leo hakuna kama huyu jamani.
 
Hata Fergie alipomuuza badae alikuja kujuta sana sasa ni Scout wa Man United uko Holland

UNAJUA sTAM ALIKUA MTAMU ILE MBAYA , ILA ALIKUWA AKIELEWANA SANA NA BEKI MMOJA ALIKUA anaitwa Ronny Johnsen sasa ikatokea bahati mbaya sasa huyo kijana akaumia, ikabidi kijana mdogo wakati huo Wes Brown awe anacheza na mkongwe Stam huku golini kipa akiwa FabianBartez , hakika kulikua na vituko sana, ukikumbuka ndio nyakati za Man U kufungwa yale magoli ya kutegeana, maana Stam haongei, Bartez haongei , Wes Brown kijana wavitendo...hapo ndipo pale Fergie alipohisi kuwa Stam uwezo wake ulifika mwisho .....akamuuza.
 
Back
Top Bottom